Tajiri najua hautumii, ila naomba upite tupate baraka zako hapa hata ya sparking hill tu...
GOBA ROAD,NJIA PANDA TEGETA A..
SKYMART SUPERMARKET KWA CHINI KUNA KACHIMBO KETU HAPA...
Nimefanikiwa kuona baadhi ya wajomba zangu Wanazi tokea jana ila wengine sijawaona kabisa. Tupige ka Lokoo kidogo tujuliane hali. Mimi kiukweli tu nipo salama sana. Ila sitaki kuwaficha wajomba zangu ni Mungu tu amependa niendelee kuwepo.
Kama na wewe upo salama tusalimiane hapa
#TajiriLaKihaya
Humu Ndani huwa naPigwa Vita saana… tatizo watu huwa hawafaham- ni ngumu kumrudisha mtu Chini ambae haukuhusika kumpandisha in the first place…
NmeJoin 2012 humu X nkiwa first year Chuo… ila nlikua mzee wa kimya kimya hadi 2022.
Miaka 10 Yote nkijijenga kielimu na kiUchumi- Kujiwekea misingi Thabiti na kuusoma mchezo woote…
2023 nkaamua kimaksudi kabisaa kuenda Viral… kujulikana na Ku Trend humu X tu… sio instagaram wala tiktok!
Ma Bro waliPanick saana… wakashangaa huyu dogo katokea wapi ghafla… mbona anataka kuangusha utawala wetu😅
Wakaanza kupandisha zile tweets zao
“Humu X walikuja wengi wakavuma wakapotea”
“x ina wenyewe- utapendwa saana ila siku wapwa wakikuchoka ndio basi”
Wakatweet saana wakipokezana - wanashangaa mwamba nazidi
Kupeta…
Wakaanza tena…
“Oohh yule mhaya anawanunua wapwa kwa hela… “
“Oohh anawalipa wapwa elfu tano tano..”
“Oohh hatumpi miezi miwili hela zitakuwa zimekata…”
Wanashangaa mwaka unakata… kitita bado kinasoma na nikirefu kweli kweli😅
Ikabidi watumie kale ka msemo- IF YOU CAN’T BEAT THEM JOIN THEM😂
Wengine Uvumilivu ukawashinda - wakashindwa jishkilia…
Wakaanza na wenyewe kutoa GiveAways…
Mara wengine laki 5, mara laki 3… mara kugawa mitaji Kama mimi…mara hela za vocha…
Wakaishiwa wakapotea😅😂
Kijana wa Muleba - Mhaya tena MYANGO Original nazidi kupeta…
Wengine Ikabidi tu WANI BLOCK kabisaa- maana wamenishindwa kwa kila kitu….
Sasa saa hizi muda wa siasa… wanataka kutumia hili Vuguvugu la Vijana…
Kuwapandikiza Chuki eti mm nawachoma vijana humu😅😂
Sasa jiulize mm na namba za watu humu zaidi ya Elfu 30 kwenye Dm yangu - wanaume kwa wanawake…
Na hapo Dm kama elfu 10 na ushee sijawahi hata kuzifungua- maana secretary wangu aliekuwa akizisoma na kuzijibu yupo Leave ya Uzazi…
Naanzaje kuwachomesha? Kwa faida gani? Ili iweje? Na watu wanachomeshwaje kwanza?
Yaani hao watekaji wenyewe hawapo mitandaoni?
Yaani kwanza ukipitia zile Tweets za Ex Mayor- kwanza almost 95% ya waliotekwa au kupotea hawapo humu X.
Ndio unagundua kwamba ni Chuki tu Binafsi za watu…
Ila hii ndio maana Halisi ya
Tajiri La Kihaya ni mmoja tu💯
#TajiriLaKihaya
Nmekaa hapa kwenye Foleni Bagamoyo Road …
Sina hamu kabisaaa….
Leo ndio nmefaham umuhimu wa kutembea na chupa Empty ya maji kwenye gari😅😂
Urine ingeniua aisee🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽