@MariaSTsehai Maria hope umeweza share na dunia ili ielewe kua nchi inaendeshwa na terrorists. I will.have to copy the English Version niipeleke mwenyewe kwa my member of parliament hapa nilipo ili dunia nzima kuelewa kua Tanzagiza imegeuka kua Afghanistan.
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
@MariaSTsehai Walikuwepo wakina hittler hawa ccm wamefika mwisho
Watanganyika tutafakari ,, CHAMA CHA MAPINDUZI
tunahitaji MAPINDUZI ama MAENDELEO nabidi tutafakari kwa kina
Watanganyika milioni 60+ tunaendeshwa na kutishwa na genge la watu wasiozidi 100 wakiwemo watu 5 wa Kizimkazi! Seriously??
Alafu kuna genge la watu kama 5,000 wanafuata amri haramu na batili za hawaafedhuli! Wala si kwamba wako wengi!
Shida nini?
Hebu tuseme SASA BASI❌
Tanzania AMKA
Tanganyika AMKA
@HildaNewton21 Usijue vipi ni polisi wa serikali haram ya Tanzania? Skuizi mnatakiwa kusema direct. Mnaogopa nini? Pattern inafahamika sasa. Ukiwa unahoji na kuwapinga wanakuteka na kukupoteza. Ishafanyika mara mia kitu. Sio wakati wa ku sugarcoat. NI POLISI.
Jana wakati mjadala unaendelea kwenye #MariaSpaces David Nkindikwa alisikika akiongea kwa taharuki kwamba “Kuna watu wananisikiliza” baada ya hapo akapotea hewa.
Kwa akili za kawaida huu muda aliopiga kelele kwenye Space ndo muda ambao alichukuliwa na hao watu ambao mpaka sasa hatujui ni akina nani?
#FreeDavidNkindika
Mhe. Tundu Lissu, vikwazo na dhoruba havimjengi kiongozi wa kawaida, bali huimarisha kiongozi wa kweli. Taifa linaendelea kujifunza uzalendo, ujasiri na kusimamia haki kupitia misimamo yako thabiti.
Mungu akupe nguvu na hekima katika safari yako ya kulitumikia taifa.
#FreeLissu
Hapa ni MPANDA KATAVI.
Mkoa ambao miaka miwili nyuma WALINIOKOA na kutoka kwenye Mbuga yenye wanyama wakali (MBUGA YA KATAVI).
Walinilinda siku zote 2 nilizokuwa nimelazwa kwenye hospitali yao (WanaCHADEMA).
Leo wamepokea Makamu mwenyekiti HECHE ambae amebeba injiri ya kuhubiri HAKI za ndugu zetu wanaotekwa na waliouliwa kikatili MO29.
CHADEMA ndio chama pekee nchini kinacholia na watanzania wanaolia, KATAVI mpanda ni watu ambao wameumizwa sana na hawa wakoloni weusi-leo ilikuwa zamu yao kupokea IBADA YA HAKI.
Hii nyomi inaongea namna ambavyo watanzania wamechoka na wanataka MABADILIKO.
Hongera mpanda kwa IBADA NJEMA YA HAKI LEO.
REPOST 200
#FreeTunduLissu
#katibaMpyaFreeTunduLissu