HATURUDI NYUMAโฆ.. SAFARI YA UKOMBOZI HAIJAWAHI KUWA RAHISI. Ushindi ni lazma na TUTASHINDAโฆ..
Kuanzia sasa Tanzania ni lazma kuwe na maandamano all the time mpaka haki ipatikane kwenye nchi yetu. Haki kwanza , haki ikipatikana amani itafuata automatically.
@BarelySammy@mangekimambi Acha hasira ndugu Mimi sio Ai ,,nikwamba tu sio mtumiaji MKUBWA sana WA mtandao huu wa X nlikua mdau wake mkubwa wa insta hata Mimi nahitaji ukombozi kwenye NCHI yetu,,Kwaio acha hasira