Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Natuma salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali hii. Tuendelee kuwa watulivu wakati huu zoezi la uokoaji likiendelea huku tukimuomba Mwenyezi Mungu atusaidie.
Karibuni kwenye page ya Instagram nina viatu high quality na pia nafungua mzigo wa Jeans na mashati week hii karibuni sana. Ninauza Mtumba grade A. ๐ฅ๐ฅ
Instagram Page: KevB_Fashion_Tz
Whatsapp No : +255717207427
Benki ya Dunia leo tarehe 01 Julai, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI.Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya.Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020.MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ikulu ya Marekani bado imeendelea kukosa utulivu kufuatia vurugu za maandamano zinazoendelea karibu na Ikulu hiyo Watu wakipinga ukatili aliofanyiwa Mmarekani mweusi George Floyd ambaye alikanyagwa shingoni na Polisi hadi kupelekea kifo chake. โnashindwa kupumuaโ
(๐น via CGTN)