1. Pambana — hata kama hakuna anayekuona.
2. Pambana — hata kama hauna support.
3. Pambana — hata kama hujui kesho.
4. Pambana — hata kama umechoka.
5. Maisha huwalipa wanaoendelea.
Kitu kimoja nimejifunza maishani…
Huwezi kuwatendea vibaya watu kisha ukatarajia kuishi kwa amani. Never.
"What goes around comes around" .
Hii Karma haijawai kuacha mtu safe.
Machozi ya watu huacha alama.
Bila CHADEMA, Tanzania itabaki kwenye mzunguko wa stagnation. CHADEMA ni ngome ya democratic consciousness, ngao ya haki za binadamu na chachu ya socio-political transformation. Ni sauti ya ukombozi wa kweli; bila CHADEMA mabadiliko hubaki ni illusion.
Chadema is our shield 🫵🏽
@Khalidchukuchuk wachambuzi uchwara bwana
wanafeli sana wao wqnazan uzuri wa mchezajj sio kumiliki mpira tu mcheza akikosa sifa moja ktk 5 zinazoitajita bado awez kua bora kwqn sacko banda wanakasoro gan inawezekana hamjajua haujiulizi wachezaj wa daraja la juuktk transfers africa hatuwapat
Work hard in silence. It’s important to remain humble.Don’t go on announcing every small win, let Ur success make the noise for you.A seed grows with no sound but a tree falls with huge noise.Destruction has noise,but creation is quiet. This is the power of silence.Grow Silently.
@moodewji@simbaqueensctz kua muwazi kiongozi mm naona unajifaruji sababu morrison kashaanza mambo yake na msimu huu naamini kabisa hii sms itapatikana miezi ijayo sio siku zijazo
Leo nawaaga rasmi ntakuwa nje ya Twitter kwa week8 kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu!
Naenda Harvard kwa kazi maalumu!
Mungu awe nanyi
FOLLOW @lwaitama1
Msisahau kupigania haki pitieni pages zote za @IAMartin_@MariaSTsehai@Mchambuzi5@fatma_karume MUNGU AWABARIKI
#KatibaMpya itaimarisha mihimili yetu ya dola, hivyo uchumi wa nchi utaimarika, haki za binadamu zitalindwa, rasilimali za nchi zitatumika vizuri kwa manufaa ya wananchi wote.
#WenyeNchiWananchi