@iamcleopatricia Walikuwepo sema biblia imeandikwa kwa mafumbo binadamu kuielewa sio rahisi, ktk ulimwengu wa roho hakuna mwanamke, hata ukiwa unavaa gauni kimeili kiroho km mungu anakutumia wewe ni mwanaume
@igy_bm23 Kwa kumbukumbu zangu kuanzia mwaka 2013 kushuka chini form six walikuwa wanafanya mthiani wa taifa mwezi wa pili, mwezi wa tano uliwekwa na mawaziri wa hovyo wale waliokuka sijui na matokeo ya GPA๐๐๐hadi ndalichako akaamua ajiuzulu Necta
@ModestaZ7 Mwambie jamaa aendelee na umalaya TRUE LOVE HAIWEZI, mtoto wa watu karisk kuhudumia mtoto uliezaa na mtu mwengine lkn hukurizika na mbolo lako ukalipereka kwengine
A faceless niche YouTube channel can make thousands of $$ per month
Now what if I told youโฆ
Itโs possible to automate the entire content process for basically free๐ณ
Like, RT & Comment "YT"
And Iโll send you a video on how!
(Must Be Following Me)
@KumbushoDawson@ummymwalimu Sema watoto wa siku hizi wanakua haraka sana, mwaka huo nime graduate first degree ila huyo binti sasa hv tukitembea pamoja unaweza sema umri tunalingana๐๐
@magnito_el @Presidential22_ @kadogooalfonce Ukweli mtupu unaongea nina dogo alipangiqa st joseph civil nilimwambia hama nenda MUST field yake ya mwaka wa 3 ilimvutia muajiri akamwambia dogo ukihitimu rudi hapa tupige kazi, kweli alivyohitimu walimuajiri sasa hv kanizidi hadi hela ๐๐