@SaumuYanga@Innocen89950594 Unaposema ndugu wa upande wa mwanaume hio maiti inawausu nini maana yake si hukubaliani kwamba Wana mamlaka nayo. Au hata we mwenyewe unachokiandika hukelewi!?
@mwakambind32591@Sisimizi3 Hii nchi sio ya Kidini mkuu. Na waasisi walishaona kwa nini isiongozwe Kidini. Dini ni mifumo ya binadamu na ipo kwa maslah ya hao walioitengeneza. Ni elimu Pana kidogo. Ila ndio mana Nyerere aliona mbali na akatoa iko kipengele.
@mwakambind32591@Sisimizi3 Sina maona ila siamini kama Gwaji ataweka sawa mfumo kama atakavyo Lissu. Bro Lissu kanyooka kuliko huyo bishop. Lissu hajawai fumbia mdomo uwozo wowote alioujua. Lissu ndiye kiumbe pekee anayemuogopa mungu tu na si kiumbe mwenzie.
@SaumuYanga@Innocen89950594 Unajua nyie wanawake wa sahivi ndio mana mnaonekana ni kizaz Cha hovyo. We mwanamke ataungana na mwanaume na kuwa mwili m1. Na hapo umesema unaomba. Kuomba ni huna mamlaka na hiko unachokiomba si ndio😀?
Kama huna mamlaka nacho unapinga vip mwenye mamlka kufanya atakavyo?
@mlinganya Me Nina mdogo wangu tena yeye mtoto wake amefanana na wife kila kitu. Ila jamaa roho yake au nafsi ilikua ngumu sana kwenye kuamini uhalali wake na huyo mtoto. Akaprocess ishu ya DNA ilimkosti kama 800k akakuta 0 result dadek. Alaf alimfanyia makubwa wife ikabd ampige chini tu.
@MushiJudica@bright_ludwig Yani nikianza ndoa ya Mkapa, ilishakufaga kitambo sema Raisi hatakiwi kuwa singo. Kambona anajuta na maneno haya alimuambiaga Babu yangu kuwa "Kama una ndoto kubwa bas epuka mwanamke wa kichaga. Ni rahisi kufanikiwa nae ila hamtotumia kwa furaha, Ni wakorofi"
Mwiguli Sina tarifa