Mpigie kura Luis Miquissone kupitia ukurasa wa @cafclcc wa Twitter ili goli alilofunga tulipocheza na Al Ahly liweze kuwa bora la Ligi ya Mabingwa Afrika 2020/21.
Piga kura sasa 🗳 #NguvuMoja
#Onset is on street right now
Unaweza Kuji record short clip isizidi sekunde 30 then #place_play Ngoma alafu itume WhatsApp
0772 030 607 #thecsmedia
https://t.co/BMs7PGA3Qr
Je utampigia kura @TunduALissu
Uchaguzi huu wa October?Ikiwa ndio, Retweet pls, nitalike Retweet yako. Ahsanteni sana. Nawatakia siku njema.
Are you voting for @TunduALissu this Election?
If Yes , please Retweet because I would like each Retweet.
Thank you m
@tanescoyetu Nipo mtwara kijiji cha hiyari hapa kwenye kiwanda cha dangote namba yangu ya simu hii 0772030607
Hadi kwenye fomu ya maombi nimeitumia hiyo waulizeni hao mafundi kupima hao hii imekaaje hiyo laki nne ni sawa?
@tanescoyetu Nimeomba umeme, mtaalam kaja kupima majibu alonipa ndiyo yamenivunja moyo kaniambia natakiwa nilipie tsh laki nne na elfu 37 kwa ajili ya nguzo mbili, huku tunaambiwa nguzo ni bure sasa laki nne ni bure?
@tanescoyetu Nimejaza fomu ya maombi ya #umeta huu ni mwezi wa tatu unaingia, sijapigiwa wala wataalam wenu hawajafika kuja kupima na niliambiwa hawato chelewa sasa sijui nini shida, nipo tayari kulipia lakini niliambiwa hadi fundi aje apime sasa naona nacheleweshewa huduma @tanescoyetu