MAMBO KUMI NA TATU AMBAYO MTOTO WA KIUME HUTAKIWI KUYAFANYA
1:Kunyonya koni, kulamba ice cream au kula ndizi mbele ya wanaume wenzako
2:Kuusikiliza kwa sauti kubwa au kuucheza wimbo wa Honey wa Zuchu, Au ule WA Gigy Money Nampa nampaaaa Nampa papa
3:Kulialia na kusumbua watu pindi unapoachwa na mwanamke wako
4:Kuvaa chupi
5:Kulambalamba lips pindi unapojirekodi video au kuweka filters zile za TikTok za kutanua mdomo na macho katika video pamoja na picha zako au kuweka zile filters za kukufanya uwe nyororo
6:Kumsalimu mwanaume mwenzako kwa kumwambia "mambo"
7:Kumuita Mwanaume mwenzio Udugu wangu
8:Tabia za umbea umbea ukisikia kitu tuu unapeleka Maneno Kwa mhusika utasutwa mjukuu wangu
9:Kukojoa kwenye ndoo wakati Wa usiku Mwanaume unapaswa kuamka na kuingia toilet
10:Ukikosana na mke kdg unakimbilia kushtaki Kwa mama Yako Huo ni utoto mwanaume anamaliza shida zake mwenyewe.
11:Kutekwa na starehe za Baa na kusahau kuitunza familia Yako
12:Kuthamini mchepuko kuliko mke uliemuoa
13:kukosa Package za OPERESHENI okoa Bolo
ASEE ACHANA NA HUU UJINGA.🫵
Moja ya Convoy Dume Ya Kibabe sana wakali toka Durban ZA Wanazitafuta 3000kms za mining site Kongo.
Wakiongozwa na
🚩Freightliner Argosy 620HP Cummins ISX
🚩Scania R560 NTG v8 Engine
🚩Actros 3352 520 HP
🚩Volvo FH 540 HP
Hakuna HP za Kubebea nyanya wala diesel ta clinker
TAARIFA TAARIFAAA TAARIFAAAA
LUCY: Sipokei Taarifa Yako Kaa Chini
Dakika Chache TAARIFA Ikatolewa
SPIKA: Mh LUCY Unaipokea TAARIFA?
LUCY: Siipokei Huyo Kwanza Hajitambui Hata Kumjibu Nitakua Napoteza Muda
Hili BUNGE Hili 😂😂😂😂😂😂😂🙌
"Kabla ya Never Again tunataka kujua kimetokea nini, nani ameagiza bunduki, risasi ambazo kimsingi zinanunuliwa kwa kodi ya wananchi, ziende zikaondoe maisha ya wananchi ambao walinunua hizo risasi kwa madhumuni ya kulinda usalama wao na mali zao." Joseph Mbilinyi (SUGU)