@cleansheet_1 yanga tulipofika final shirikosho tukaalikwa Ikulu Simba walikuja kufuata ubwabwa kwenye shughuli yetu ila pacome kaumia wamejificha hawa jamaa sio watu wazuri
@Labella_Mafia95 halaf lina thaman ya milion 50 tu lakini la NBC lina thaman ya milion 600 kweli Yanga bingwa anabeba vitu vya kiume haya ya kike tuwaachie Simba
@SimbaSCTanzania kombe la milion 50 halifanani na kombe la bingwa la milion 600, parade bila vikombe kama hivi hayo ni maandamano ya kina mama wanaume tuna t mfululizo kila mwaka tunawapa mimba