@lwaitama1 Yan Unajua kabisa tundulisu sio mwanasiasa, ni mwanaharakati halafu unategemea yeye ndo aifikishe mbali chadema!!?? Unaota ww, subir miez michache tu chadema haitatajwa tena zaidi ya kusema RIP chadema
@lwaitama1@IAMartin_@ExMayorUbungo Wanaozamisha taasisi ni hao viongozi wenu walochaguliwa wakashindwa kutuunganisha na badala yake wao mkashirikiana nao kututukana na kutudhalilisha. Sasa mtavuna mlichokipanda sisi tunasonga mbele✊️
@TzAstra2014@tanpol Innalillah wainna ilyh raajiun. Tuliobaki tujiunge chaumma tuendeleze mapambano bila matusi na vurugu, dhihaka na kejeli kwa serikali, tutafanikiwa kwa busara na hekika zetu. Chaumma kinaenda kuikomboa Tanzania