Unadhani huyu angemfananisha Samia na Shetani na sio Yesu au Mtume Mohammed kama alivyofanya hapa nini kingemtokea? Au yangemkuta kama ya yule Chaula wa Mbeya alichoma picha ya Samia kwa madai kuwa Samia amekataliwa na Mungu? Tuko katika nchi ambayo watu wanaokufuru kwa kumfananisha Samia na mitume watakatifu wanasifiwa na wale wanaomkosoa wanatekwa na kupotezwa. Hii hali lazima tuikomeshe.
@AykerP @SemuDorothy@ACTwazalendo Uma upi unaozungumzia wewe?
Mlishawahi kuushirikisha? Vipi walisaidia chochote? Unajua kwanini walishindwa, kwasababu bado sheria zinawabeba watawala, usipo shughulika na hizo sheria nikutwanga maji kwenye kinu.
Lakini pia usisahau ACT haimaniki huku Bara kutokana na mizizi yake
@JamiiForums Somalia - linatokana na jina la watu wa eneo hilo, "Somali, likiongezwa "-ia",
Tunisia - kutoka miï mkuu Tunis, likiongezwa "-ia"
Tanzania - liitokana na Tanganyika na Zanzibar, likafuata muundo wa "-ia"
Katika lugha nyingi, "-ia" linamaanisha '"ardhi ya" au "mahali pa."
@JamiiForums au maeneo ya kijiografa. Lugha nyingi za Ulya, hasa Kingereza, Kifaransa. Kihispania, na Kireno, zilirithi muundo hu
kutoka Kilatini. Hi ilifianya majina mengi ya nchi yaliyopewa na wakoloni kuwa na mwisho huu,
Nigeria -kutoka Niger, likiwa na kiambishi "-ia" kuunda jina la taifa
@rollymsouth Sikiliza mzee, kuingia JKT unafanyika usahili, umemaliza JKT unaenda police au uhamiaji au Magereza unafanyiwa pia usahili including vipimo. Nadhani ungefatilia kabla yakuandika, kumbuka andiko lako linafuatiliwa na watanzania wengi sana.
Natamani kujua hii hadithi iliishaje.
Ila nikimuangalia, kuna roho inaniambia huyu ni askari, ila aidha amepaniki, au hataki kuuza kodi mbele ya kamera.
Kwa waliofuatilia kujua hii kesi iliishaje tafadhali watufahamishe.
TTCL kwa elfu50 unapata unlimited bundle kwa mwezi mzima na kwa gharama hiyo hiyo una fungiwa fiber buree nyumbani kwako.
Alafu kuna wenda wazimu wana lipia kile kidude cha Eyatel 😂😂😆
Hii message inaweza sikilizwa na kila mtu
kuna ujumbe wa kutosha sana kwenye hii video, mambo ya msingi
Kusema ukweli siku hizi unaweza usifike nyumbani, ukisema ukweli watu wanaanza kutamani roho yako kama vile wao ni miungu, Hawa ni binadamu tu tuwakabiri tutapata mabadiliko