@MikeDeNathan@MariaSTsehai Anapowabana lisu sio hyo ya kiswaga anaowabana lisu nikwamba alivyokamatwa alitakiwa kwanza commital ifanyike eneo alilokamatiwa lakini wao walimsafirisha kuifanyia kisutu
@ReganTesla_@G_Bizimungu@HildaNewton21 Watu wanauwezo mdogo sana wa kuelewa sasa hapo watu wa chadema wanakutakana matusi makubwa wakati sentensi yako kwa mtu wa kuelewa anajua unamaanisha nini
@mangekimambi Mzee kajichanganya sn tunamshukuru lisu ametufunua hila na waonea huruma waliopoteza vijana wao kwenye harakati za siasa za chadema wakijua wanapambania nchi kumbe wanapambania maslahi ya mtu binafsi na tumbo lake