Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbozi chawapokea madiwani watatu toka Chadema wajiunga na @ccm_tanzania wasisitiza kazi nzuri anayofanya @MagufuliJP Katibu CCM Mkoa Songwe aongoza Mapokezi
Umoja wa Vijana unawapongeza Sana Vijana wote wa seneti ya Vyuo na Vyuo vikuu mkoa wa Songwe kwa Kuchangia Mifuko 10 ya sementi katika Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa UVCCM Mkoa wa Songwe unaoendelea
#Cde Shaibath Kapingu
Katibu Hamasa Mkoa Songwe.
Katibu wa UVCCM Mkoa Cde Hassan Y.Lyamba amepokea mifuko hiyo na Kuwapongeza kuunga Mkono Jitihada hizo na kuwaomba wadau zaidi kuendelea kushirikiana na UVCCM mkoa wa Songwe
#Cde Shaibath Kapingu
Katibu Hamasa Mkoa songwe
UjenziWaJumuiyaNgaziYaWilaya
M/kiti Andrew Kadege alitoa tzs 500,000/- kwa ajili ya kulipia fidia ya tzs 1,000,000/- ya eneo la UVCCM wilaya ya Ileje.
Cde Shaibath T.Kapingu
K/Hamasa Mkoa
Asante @UNESCO Tanzania kwa kuunga mkono mapambano dhidi ya COVID-19 nchini. Nitoe wito kwa wanahabari nchini kuchukua hatua ili kujikinga na ugonjwa huu ikiwemo kuzingatia kukaa/kusimama umbali kati ya mtu na mtu wakati wa kutekeleza majukumu yao #JikingeWakingeWengine
Asante #ABSABankTanzania kwa kuunga mkono mapambano dhidi ya Corona nchini. Mchango wenu ni mkubwa kwa Watumishi wa Afya wakiwemo #Wakunga . Pamoja na uwepo wa COVID-19 ni muhimu kutambua kuwa wanawake wajawazito wanaendelea kujifungua kila siku na wakunga wanaendelea kuwahudumia
Umoja Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Songwe Unakutakia Heri katika Majukumu yako kama waziri wa katiba na Sheria Dr Mwigulu Lameck Nchemba
Hongera sana
Cde Shaibath T.Kapingu
Katibu uhamasishaji na Chipukizi @uvccm_tz Mkoa Songwe https://t.co/UC8P0kOJYw

Vijana wa Mkoa wa Songwe Tunakutakia Heri katika kumbukizi yako ya siku ya kuzaliwa Tunakuombea umri Mrefu na Afya njema Katibu mkuu UVCCM Taifa (MNEC)@uvccm_tz@ccm_tanzania@Kheri_D_James
Hongerani sana waalimu wangu Prof.Mabula Daudi Mchembe na Prof. Abel Makubi kwa uteuzi wenu kama Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali. Sisi wanataaluma @association_mat tunawaahidi ushirikiano mzuri. Karibuni sana tuendeleze juhudi za kupambana na COVID-19 @wizara_afyatz
Tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita, Mh. Rais Dkt JPM aliniteua kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam. Huu ndio ulikua mwanzo wa utumishi wangu ndani ya serikali ya JMT. Namshukuru sana Mwenyeezi Mungu Mtukufu, Mh. Rais na watanzania wote.
UjenziWaJumuiyaNgaziYaWilaya
M/kiti Andrew Kadege alitoa tzs 500,000/- kwa ajili ya kulipia fidia ya tzs 1,000,000/- ya eneo la UVCCM wilaya ya Ileje.
Cde Shaibath T.Kapingu
K/Hamasa Mkoa
*UjenziWaJumuiyaNgaziYaWilaya*
M/kiti Andrew Kadege alitoa tzs 500,000/- kwa ajili ya kulipia fidia ya tzs 1,000,000/- ya eneo la UVCCM wilaya ya Ileje.
_Leo katika kumbukumbu_