@MsFrancic@MarekaMalili Tulia hivyo hivyo...si kwenye kile kiti mnapenda makabila madogo kama hayo ya wasagala, wagogo, wakwere n.k na kuyaogopa makubwa/prominent kama wachagga, wahaya, wanyakyusa, wasukuma n.k
@TRATanzania Poleni Watahiniwa...kiukweli TRA hao Watahiniwa wenu mnawapa kimuhemuhe na kihoro bure, toeni matokeo kwa wakati na hakikisheni fairness na uhalisia kwenye matokeo kuliko kuchakachua kwa namna yoyote ile...
@MarekaMalili 1. Spending on Assets rather than liabilities 2. Spend as budgeted and planned, no over expenditure 3. Ensuring Constant Savings, financial stability and being liquid all the time