Kuna njia ya kutrade bila kupata loss. Ipo.
Na hiyo njia ni hii hapa chiniπππ
"DON'T TRADE"
Tofauti na hapo, there's no way utaepukana na Loss. Kwasababu hiyo, zipo njia za kupunguza Losses kwa ku Master technical vizuri, na Ku control loses kwa kuws na Good risk management