Wasira Amechoka Apumzike alee wajukuu na vitukuu.
Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali iliyosomwa mwezi March 2026 ilibainisha ufisadi wa shilingi Trilioni 7 . Leo kila mbunge analalamika kuwa barabara za jimboni kwake ni mbovu kuliko jimbo la mwenzake. Ukweli uliowekwa wazi na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG )ni kuwa fedha za mfuko wa barabara zinazokusanywa kwa wananchi kulipa tozo ya sh 526 kwenye kila lita moja ya mafuta zilikusanywa shilingi Trilioni 1.5 zikapelekwa bilioni 148 .32 pekee na fedha zingine hazijulikani ziliko. Mmefanya hivyo pia kwenye fedha za tozo ya sh. 10 kwa kila lita moja ya mafuta inayokusanywa kwa ajili ya miradi ya maji, mmekusanya bilioni 210 mmepeleka bilioni 70. @ccm_tanzania ni chama cha mafisadi . Acheni kuhadaa ummah
Watanzania, mambo yanaendelea vizuri. Dunia ipo na sisi. Msiwe na hofu, tutashinda. Bado kuna kishindo kinakuja. Keep on fighting.
Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha
#TanzaniaMassacre#FreeTunduLissu
Nchi haiwezi kujengwa kwa propaganda za kichawa na za kijinga. Watanzania wameamka wamesoma sio wajinga tena kama zamani. Mbinu mlizotumia kudanganya watanganyika zimepitwa na wakati ndio maana kila kitu mnafanya mnaonekana waongo na wazushi.
#FreeLissuNow#KatibaMpyaNiSasa
Unapokuwa JAJI MKUU (Mstaafu) inapobidi KUANDAMANA kwa maslahi ya HAKI za watu, fanya hivyo 👇. Kuna nchi nyingine, unakuta JAJI MKUU (Mstaafu) ni CHAWA. Kwa kweli KENYA WAPO MBALI SANA.
Baada ya kukutana na Seneta @tedcruz, tumeenda ofisini kwa @SenatorShaheen. Hawa Masenata wameweka Bipartisan Bill ya kushughurika na samia suluhu hassan baada ya mauaji aliyoyafanya, utekaji, uvunjifu wa haki za kuabudu na za binadamu. Watanzania, Mungu anatupenda sana. Mambo mazuri yanakuja. @tausilikokola
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu