@RichardGablier@privaldinho Misri huendi kwa ajili ya mechi moja mzee mbona unakua mvivu kufikiri umaenda kwa ajili ya maandalizi ya michezo yako sasa ulichofanikiwa nikucheza makindi ambayo na mwenzako anacheza ila vikombe tofauti ligi bado huongozi kombe lako la mapinduz umelirufisha sasa kunanini hapo๏ฟฝ๏ฟฝ
@RichardGablier@Fundi972@privaldinho Malengo ya tim yanategea na mashindano unayoshiriki ukicheza mechi zaligi malengo ni kombe ukilikosa umefeli ukishiriki mabinduzi malengo nikuchukua kombe umelikosa umefeli umecheza mechi ya ufunguz wa ligi malengo nikushinda ukipigwa umefeli ww malengo hayo yapi mengine mzee
@mchwembo_abson@privaldinho Gem za mtaani sindio zinakupa kigezo au kigezo ni kwenda dubai hakuna gem za mtaani zote n gem sema zile fitna kwa kua ndani wanakujua wanazibit ila nje hwajui unayofanya unawawin hilo tu ila hamna jipya
@dr_bashiru Sioni sababu ya kumtukana bashiru kwa post yake ila nilidhani kuna maswali ya kumuuliza
1.kwa hiyo tufanyaje?
https://t.co/INmqzekGtP hilo limetokea lini jana au?
3.wanasiasa wote hubadilika kila wakati kwa ajili ya maslahi binafsi nalo unakubali?
Waache waTz watafute mkate wao