@iddynonga_ Wanasajiri kwa hawana timu wametolewaa makundi.Sisi tumefika fainal na washindi wa pili tena kwa mechi ya kusindikizwa na polisi.ππwaandishi punguzeni njaa mtu anaesajili vzr hawezi pitia get la Nyuma la uwanja lazima aamini wachezaji wakeππ
@iddynonga_ Kwan hawajafanya vzr?Fainal shirikisho na mshindi wa pili NBC kwa Timu mpyaa bado mnaona sio vzr is Njaa bwana.Sema yule jamaa ndo anatuhujumu mechi za mtani ungeongea ivyo ungelewekaa.Watu ameishia makundi wameganya vzr NBC kwa mipango ya mstahafu.
@privaldinho Na iko shirikisho zingebaki ngapi?Na izo timu walizoachwa wachezaji 7 nnje na wale waliokuwa wanawasikiza adi golin zingekuwa ngapi?Magoli 54 kwenda juu yote yametoka kwenye timu zenu.
@TanzaniaLeaks Mtanzania mlimkutaa mkamwita Dikteta,Anauwa watu ataki uhuru wa Vyama vingi mkampaa majina yote.Nae alijua ndo mana akasema https://t.co/GC0fjBdqut mlivyokuwa hajui mnataka nini mkashangilia kifo chake na kumsifia mzanzibar kuwa sasa Amani umepatikana.Upande wangu nafurah aya yt
@ReaganMichael5@iddynonga_ Wakati Simba anaonga marefa Yanga wanatumia GSM na timu so ubaya https://t.co/ST8Zeu7Bnr waliweka wachezaji 7 nje wamekutana nacho
@privaldinho Card nyekundu na penalty uwa zinaptikana kwa timu zenye wachezaji wenye akili na mbinu nyingi.Sema nyinyi mshukuru mna washabiki wajinga sana.Adi sasa hivi bado wanaona mmeshinda kesi CAS.Kila kitu wanawasikiliza.