@MwananchiNews hivi mnaona kinachoendelea bungeni? Badala ya kusistizia mada zinazogusa wananchi, wao wanajiongelea wao na matumbo yao. Mara health insurance zao, mara namba za magari Hivi hawa hawaelewi kwamba kilichowapeleka bungeni ni kutatua matatizo ya wananchi wao??
@Jambotv_ hivi ni kweli Tanzania ndo inaongozwa na wabunge WAJINGA kiasi hiki???? hivi hawa watu ni kwamba ni DELUSIONAL au?? ni AMANI gani wanayoizungumzia?? Hawa watu wanafanya makusudi au ni vipi??