@Sativa255@tanpol potentially targeted wawkew vinas saut&vdeo ikiwezekn md wanap ona n ambush waviwek on virekod na kuwek kmbkmb mahal au liv kwny server mahal pengn hat kam vitatolew vtakuw vshalet evidenc n wat gan wanaofany hay matukio mawasilian yaw hasw kwny encrypted i.e Whatsapp sio sms Vod
@MSalimu Hakuna tena Nationalism yoyote hapa nchini Zaid ya kuendeleza daily routine ya kuchagua ,kuongoza na kumpa mwngn basi.. Ile kiu ya kutaka Tanzania kuwa ndy nchi ya uchumi mkubwa Africa haipo, population yetu kubwa maeneo makubwa kwann bdo tuna import adi toothpick?
@ccm_tanzania sioni sabab ya msingi ya kuw na hofu na opposition, ccm ina million's of ways kushinda uchaguzi, kwann isi negotiate na upinzan weka reform zao then twende. Election. Haya Mambo ya jeshi la polisi ni kuweka picha mbaya kwa Samia na taifa na ni unnecessary
@ACTwazalendo@TunduALissu Sielew kwann jeshi la polisi linatumia nguvu kiasi hiki ,hofu ya nn wakati CCM it will win election in any way. Let people speak freely in their country tusijenge chuki badae tuje kulaumiana
@MarekaMalili Hata wale watu weny info negative za ruto washaona gachagua ndy speaker yao , baya lolote la ruto mpe gachagua he know what to do with it
@Jambotv_@ACTwazalendo@abdulnondo2@ccm_tanzania ni wakati wa kumsaidia @SuluhuSamia kupitia wabunge pitisheni Sheria Kali na leten mageuzi yanayo onekan nchini sio tu kumsifia bil kazi, nyie ndy chanzo Cha haya yote kila Kon watu wanahujumu taifa, inaumiz
@ayubu_madenge France na block nzima ya Europe wana tozo za bidhaa from US , trump nayy kawawekea basi wanasema uchumi utayumba Kwan malekan yy hatakiw kutoza? Hzo n reciprocal tariff ukinitoz namm takutoza that's it fair.
@EduTalkTz Wanachotak kina mrema ni kile kile ambch ccm inatak, yaan wanajua hawatashind so wanatak wapate hzo kura chache ili ziwape ubunge wa viti maalum wapate ruzuku watembelee v8 basi Kaz kwisha.
@HildaNewton21 Adi ifike October ni mengi sana utayashangaa Hilda, huu mwaka utakuw wa shida sana chadema, chadema itabdi ikubali hata kuachan na watu muhimu kwa maslah ya chama
@lifeofmshaba Tanzania Hali ya ajira ni ngumu hvyo vijana wamegeukia betting Kama ajira na sio starehe,hvi leo akiumwa betting itamsaidia nn huyu kijana? Itampa monthly income akiw kitandan? Mbona wanasiasa wamekosa huruma kwa taifa, Evils