Mawakili wa serikali wamemeliza kusoma maelezo yao ya awali. Jaji anauliza mawakili wa washtakiwa. Mawakili wa washtakiwa wanaomba dakika 1. Wakili Kibatala anaenda kizimbani kuongea na washtakiwa. Jaji anasema atawahoji washtakiwa wenyewe baada ya mawakili wa utetezi.
@freemanmbowetz ni kiongozi msikivu na anayependa kusikiliza sana kila MTU. Huyu sio gaid ila amebambikizwa. Hapa ni 2018 tukiwa kwenye majukumu ya kujenga chama.
Washtakiwa 1, 2, 3, 4 walikaa vikao mbalimbali ikiwemo eneo la Aishi Hotel, na maeneo mbalimbali ya miji ya Morogoro, Arusha, Mwanza na DSM, Walikuwa njama na kumsababishia majeraha Lengai Ole Sabaya. Mshtakiwa wa kwanza alikamatwa Chang'ombe, wilayani Temeke.
๐Kwenye Kongamano la chadema huko Mara tuliona wanajeshi wakitumika kulidhibiti lisifanyike, je msajili wa vyama vya siasa ataitisha kikao cha majadiliano kati ya Mabeyo na wadau wa vyama vya siasa?
๐Vyombo vya ulinzi vinavyotumika kuwanyanyasa wapinzani sio polisi peke yake
Siku zote aliyeko uande wa haki ndiye mwenye amani hata kama anaonewa. Hii furaha ya M/kiti kuna watu wanaitamani lakini hawaipati kwasababu mikono yao imejaa jasho la wananchi na damu ya dhulma na manyanyaso. Mungu atasimama na wewe mh @freemanmbowetz
Tuko na wewe!!
Retweet๐