Credits: BBC Swahili
Ufafanuzi huu ulitolewa na Tarsila Emmanuel, Muuguzi Bingwa na Mbobezi wa Magonjwa ya Figo kutoka kitengo cha Kuchuja Damu (Dialysis), Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kilimanjaro: Dereva wa Jeshi la Polisi, SSGT Hussein Rashid aliwaasa madereva wanafunzi wa jeshi hilo kuwajibika, kuwa na nidhamu, kuzingatia ubinadamu na kutoendeshwa na madaraka waliyonayo wanapokuwa barabarani akitolea mfano uzoefu wake wa kuwaendesha viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi toka mwaka 1992 bila kupata ajali barabarani.
Hussein aliyasema hayo Novemba 17, 2026 katika shule ya Polisi Moshi, kambi ya Kilelepori wakati wa mafunzo ya udereva yanayosimamiwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi https://t.co/2b4WiX17op
#JamiiForums #Utawala #Governance #Uwajibikaji
Video ya kwanza ilirekodiwa na wanajeshi, angalia mwishoni utaona mwanajeshi na mabuti yake.
Wanajeshi waliorekodi video walinitumia huku wanalia machozi.
Video ya pili mpaka waislam waliuawa ila leo Bakwata ipo kimya.
Can somebody explain to me wtf is going on in the Middle East? 😭
I thought they were supposed to be the best example for Muslims and the moral yardstick for the entire Ummah.
Heartbreaking video showing a man raising concerns after allegedly witnessing children being maltreated in a church in Port Harcourt. I believe this matter should be properly investigated to establish the facts and ensure the children’s safety. 🥺
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amesema kutokana na ongezeko la shehena katika Bandari ya Dar es salaam, kuna mpango unaotarajiwa kuhusisha kuhamishwa kwa Wakazi wa Kata 10 za Wilaya hiyo ili kupisha shughuli za Bandari Kavu.
Kauli ya DC Mapunda inakuja baada ya kuibuka kwa taharuki miongoni mwa Wakazi kufuatia taarifa kuhusu mpango huo unaohusisha Kata za Kurasini, Miburani, Keko, Azimio, Mtoni, Chang’ombe, Buza, Sandali, Tandika na Makangarawe.
Akizungumza na AyoTV, DC Mapunda amethibitisha kuwepo kwa mpango huo, akisema unatokana na ongezeko la shehena katika Bandari ya Dar es salaam kutokana na uwekezaji unaoendelea bandarini.
Amesema mpango huo haulengi kuwakomoa Wananchi, bali kuongeza fursa za kiuchumi, kuipanga vizuri Temeke, kupunguza foleni na kurahisisha shughuli za upakuaji na usafirishaji wa mizigo kutoka Bandarini.
“Hata Kariakoo ilikuwa eneo la Makazi na baadaye wakapisha kuwa la biashara, eneo la Kurasini lilikuwa la Makazi, wakaondoka kupisha Bandari, kuhusu anayesema ataitisha maandamano tubishane kwa hoja, yeye akahamasishe maandamano, mimi nitaenda kuhamasisha Watu kuwa na hela, tuone Watu wataenda wapi,” amesema DC Mapunda.
#MillardAyoUPDATES
Trans Woman Says Gender Has Nothing to Do With Biology ,Then She Gets Hit With a Brutal Counter
Cooley: So you identify as a woman?
Melanie Cosmicfox: Yes. My identity is psychological, not biological. Gender is different from sex.
Cooley: So you're operating in a delusion. You can never be a woman, but in your mind, you believe you are one.
Melanie Cosmicfox: I think it's delusional to expect everyone to identify with their genitals. Identity develops separately from sexual organs.
Wickiddream187: If I feel like I'm Black, can I identify as Black?
Melanie Cosmicfox: That's different. Identifying with a particular gender is a natural part of human development. Race isn't the same kind of identity.
Wickiddream187: But I've grown up around Black people, I'm influenced by Black culture. Why can't I identify as Black?
Cooley: Let me take it further. If a human identifies as anything other than male or female say a cat or a cactus is that a mental illness?
Melanie Cosmicfox: Not necessarily. But they wouldn't be functional in society, and society wouldn't have to accommodate those demands.
For me, I'm asking to be accommodated as something that already exists. Society already has accommodations for women.
Cooley: But those accommodations exist because of biological differences between men and women.
Women have certain privileges because of their biology.
They can bear children; you can't. So why should you receive the same accommodations?
Melanie Cosmicfox: I think I understand your point.
Cooley: That's my refutation. The accommodations society makes for women are based on their biology.
And you don't share that same biology.