Everyone got a point to prove|| UDSM ALUMNI ๐||POLITICAL SCIENCE๐๐||Religion:Humanity๐||Family comes first๐ค|| Manchester United Fan GGMU๐||
"Tunatokea mazingira magumu,tumebeba historia na kumbukumbu nzito mabegani mwetu. Tunapambana kujikwamua, ikitokea tumefanikiwa basi usituchukie wala kutuwekea vikwazo mbele maana nyuma yetu kuna kundi kubwa la watu wanatutegemea. Tukiharibiwa sisi wengi wameharibikiwa".
TANGA: Kuhusu madai kuwa kuna msukumo nje ya taasisi uliochangia maamuzi yao ikiwemo aliyeteuliwa kupendekezwa na Kiongozi wa Wilaya badala ya yule mwenye matokeo mazuri kama Waziri alivyoelekeza, Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) โ Lushoto kimesema โUongozi hauna taarifa za ukaribu huo na wala haukuzingatia kigezo hichoโ.
Fuatilia zaidi https://t.co/RefM3MBuZJ
#JamiiForums #JFElimu #Uwajibikaji