Nmepitia IG account ya Millard Ayo hajapost chochote kuhusu viongozi wa chadema kuachiwa na speech zao za mikutano but kapost ishu ya msigwa kulipiwa na raisi ๐
Such a puppet @kigogo2014@fatma_karume @RealHauleGluck
๐๐,Kuna kundi kubwa sana la watu wame riport account zangu hapa X na IG, hii hainivunji moyo bali inanipa nguvu ya kupambana zaidi Mpaka haki Itakaposhinda ๐ซต๐พ๐ซต๐พ๐ซต๐พโ๐พ
Being a Chawa Wonโt Change Anything
Real change doesnโt come from fear or flattery. It comes from truth, courage, and standing up for what is right. Many people think that staying close to power no matter what is a smart move. But history tells a different story.
Being a chawa (a bootlicker) may give you short term comfort, but it kills your voice and your values. You end up protecting a broken system instead of fixing it. You become part of the problem.
Change has never come from silence or blind loyalty. It comes when people choose to speak up, even when itโs hard. So instead of clapping for everything, ask hard questions. Instead of fearing power, hold it accountable.
Because if we keep doing the same thing and expect different results, as Einstein saidโthatโs insanity.
Nina miaka kibao sijawahi nunua bando internet.
Ni follow, comment neno NITUMIE, and repost niwape chimbo..
Kisha nikupe michongo DM
Only for Android users.
VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
Ni jana hiyo masikini kumbe network ilizimwa makusudi Ili magari yasiingie porini sababu kulikua na Dege kubwa kutoka uarabuni limeijia Wanyama. Naskia watalii wame lalamika sana yaan ni huzuni. Magari yamekaa karibia masaa 10 just imagine. ๐ญ
Inaumiza sana watanzania, @mwigulunchemba1 anasema tuende cashless still yet hakuna regulations zinazosaidia kupunguza payment fee.
1.Why mtu unalipa kutoka same P2P then unakatwa transaction fee?
2. For each transaction kuna kodi hata kama ni mara 10 kwa siku
Cashless payment kwa TZ ni UKICHAA!
Imagine mteja analipia bidhaa ya 900k anakatwa 6k, muuzaji akienda kwa wakala kutoka 900k anakatwa 8k!
Mteja anaona atoe once alipe cash tu, in return hela nyingi zinakua njeya mzunguko!
Kitu pekee Waziri ameweza i kumantain tai ya bendera
Inabidi tuwe tofauti na insta.
Inasta leo wanaongelea KOMASAVA. Mnaonaje humu tukawa na mjadala wa USHINDI wa MWABUKUSI dhidi ya TLS na sasa ataweza kugombea kwenye uchaguzi wa TLS.
Ni kweli nilipost komasava asubuhi ila kuteleza sio kuanguka. Hatujachelewa.๐๐พ
Nawapa pole familia na wote walioguswa na kifo cha Jaji Mstaafu Mark Bomani. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa Serikalini katika masuala ya sheria na katika chama akiwa Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa CCM. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
Nawapongeza Walimu wenzangu wa madaraja yote kwa kuadhimisha siku ya Walimu Duniani. Serikali inatambua mchango wenu mkubwa kwa Taifa na itaendelea kuboresha maslahi na mazingira yenu ya kazi. Endeleeni kuchapa kazi. Tulianza pamoja, tutamaliza pamoja.
:
Mwl. John Pombe Magufuli.