@mathew_musonda@privaldinho Nawaza simba wataendaje uwanjani wakati anayeandaa mechi na uwanja wa kuchezea ni Yanga. Hivyo kama hatofanya maandalizi ya mechi it means hata simba hawataweza kuingia uwanjan
@tuktukroll1@hussainjumbe@kenny6728388561@NjiwaFLow Nilisoma juzi kwamba kuna vyombo vilikua vinapeleka chakula kila baada ya muda fulani. Changamoto ni kwamba vyombo vya mizigo havina uwezo wa kubeba binadam nankumrudisha duniani hivyo ikawabid wasubir mpaka chombo cha Elon kilivokua tayar ndo kikawafata