@Brother_0101 @MsomiKhan18 Kama ni boya ni boya tu hata uwe uliishia la 1 ukakaa mtaani tu unaweza usifanye chochote.hizo ni fighting spirit za mtu binafsi hazihusiani na kusoma au kutosoma
@JOGOOPORI1@HildaNewton21 Hata iweje lazima kunasiku chama kipya kitaingia madarakani .je watakao ingia wakifanya maovu hutakemea?.kukemea maovu ni ubinadamu wa kawaida haihitaji kuwa na chama cha siasa