Ships don't sinks because of the water around them, Ships sinks because of the water gets in them.
Don't let what is happens around you get inside you & weight you down. #StayUp#WiseBoy
Imagine Uwe na uwezo wa Kutengeneza 100,000. Kila wiki Mtandaoni kwa Kupost Unachokijua tu
Katika dunia ya sasa, unaweza kutengeneza pesa kwa kusambaza maarifa yako mtandaoni.
Haijalishi unajua nini—kila kitu kina watazamaji wake, na ukijua jinsi ya kuwasilisha maarifa yako vizuri, unaweza kuyageuza kuwa chanzo cha kipato.
Swali la Kuzingatia:
Ulienda shule na ukatia bidii kujifunza. Lakini sasa unapopewa nafasi ya kujifunza kitu kipya chenye thamani kubwa kuliko elimu ya darasani, kwa nini unapuuza?
Leo hii, kuna maarifa machache unayoweza kujifunza mtandaoni ambayo yanaweza kukupa pesa nyingi zaidi kuliko mshahara wa kazi ya kuajiriwa.
Na cha kushangaza ni kwamba, maarifa hayo yanapatikana bure kwenye YouTube na Google—kinachohitajika ni wewe kuchukua hatua.
Dunia ya Teknolojia: sio lazima uwe na mtaji , connection Wewe Ni Content Tu inaweza kukupa Mafanikio
Katika zama hizi, huwezi kusema huna mtaji, huna connection, au huna msaada wa kupata pesa. Kitu pekee unachohitaji ni content (maudhui).
Hata mabilionea wakubwa wanategemea content kutengeneza pesa. Na sitaki uamini maneno yangu tu—acha nikupe mifano:
Apple/Google/Samsung content ndo inawapa mauzo
Miso Missondo
DJ Ally B
Mimi mwenyewe
Haukunijua mimi kabla, lakini umeniona Instagram, TikTok, au YouTube, na sasa unasoma ujumbe huu. Sikuhitaji connection wala mtaji kufika hapa—nilitumia content.
Leo hii, nalipa kodi, nakula, na maisha yangu yote yanategemea maudhui niliyotengeneza. Hii si kujivunia, ni kukuonyesha kwamba na wewe unaweza kufanya hivyo.
Tatizo Kubwa la Watu Wengi
Hakuna mtu atakushika mkono na kukufundisha kila kitu. Hakuna mtu aliyewahi kunifundisha moja kwa moja kila kitu ninachofanya leo.
Kuna watu wanapenda kuuliza maswali kama, "Hii ikoje?" kwenye DM, wakitarajia mtu anayefanya content awafundishe bila malipo. Ukweli ni kwamba, hakuna mtengeneza maudhui anayependa maswali ya aina hii.
Kwa nini? Kwa sababu maarifa yote unayohitaji yapo mtandaoni bure—tatizo ni kwamba hayajawekwa kwa mpangilio mzuri. Unachohitaji ni muda wa kuyatafuta na kuyasoma.
Lakini watu wengi wanataka njia rahisi. Wanataka mtu atumie muda wake kuwafundisha bila kufikiria kwamba huyo mtu naye ana gharama zake. Ukweli mchungu: Hakuna mtu atakufundisha bure kwa sababu muda ni pesa.
Hakikisha unapata picha kamili—content creation si kitu kipya. Makampuni makubwa kama Azam, Wasafi, Clouds Media, na hata kampuni za magari duniani zinategemea content kuuza bidhaa zao hiyo nimifano michache tu kuna brand za nguo na zingine nyingi
Leo hii, unaweza kuanza kutengeneza maudhui, lakini sio kila mtu atatengeneza pesa kupitia content. Lazima ujifunze jinsi ya kugeuza views kuwa hela.
Suluhisho: Jifunze Digital Marketing
Ikiwa unataka kutengeneza pesa mtandaoni, njia bora ya kuanza ni kujifunza Digital Marketing. Hii itakupa uelewa wa jinsi ya:
Kutengeneza maudhui yanayovutia
Kujenga brand yako binafsi
Kuuza bidhaa au huduma zako
Kutengeneza mfumo wa mapato endelevu
Unaweza kujifunza Digital Marketing bure kwenye YouTube au kulipia kozi zilizopangiliwa vizuri kwenye majukwaa kama Udemy.
Mafanikio yako yapo ndani ya uwezo wako. Acha kupoteza muda kwenye maswali yasiyo na maana. Tumia rasilimali zinazopatikana bure mtandaoni, anza safari yako ya kutengeneza pesa, na ukihitaji mwongozo wa kitaalamu, tafuta wataalamu wa kulipa.
Muda ni pesa. Chukua hatua leo!
Self-improvement is a silent battle.
You don't need to announce every win.
You don't need to broadcast every loss.
Just keep grinding away in the shadows.
Unasikia bro, kama bado upo chini unajitafuta, usioone aibu
-Kuvaa mitumba
-Kushindia mihogo
-Kunywa maji ya bomba
-Kuweka mafuta ya taa kwa msosi
-Kutembea Kimara hadi Mwenge
Usione aibu msoto unaopitia, maana ukijimwambafy kisha ukafeli utachekwa zaidi na hkn atakayekuhurumia
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende.
Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira.
MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda, tushawahi shuhudia Wanetu wanaambiwa “Wewe sio type yangu” ila wapo busy kulamba vitambi vya Wakongwe na kujibebisha eti Dady, atasema sidate na Watoto ila analala na Mwanaume umri wa Babu yake.
WANANGU kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na hawa Mabinti na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele, tuwe BIZE SAAANA kwakuwa wao ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu, tunao Ndugu na Wazazi wetu wanaotaka ushindi wetu.
WANANGU tujibu texts zao pale ambapo muda umepatikana, tupokee simu pale ambapo hakuna mishe nyingine, tuwe busy tupambanie maisha, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu, mpaka mwisho Wanangu, wakisema sio romantic fresh, wakisema hatujali fresh sisi hatuna muda mwingi wa kujiteteta tunasaka USHINDI.
MKULIMA WA BONDE LA MTO KILOMBERO.
HIZI TABIA 10 ZITABADILI MAISHA YAKO - "UHAKIKA 💯"
Ndani ya miezi 3 utakuwa mtu mpya.
Hatua ndogo ndogo za kila siku ndio siri ya ushindi.
REPOST Iwafikie Wana,
Kisha twende kazi 👇
Did you know yesterday was World Sleep Day? The most underrated form of self-care is getting enough sleep.
Here are 8 psychology tricks to fall asleep in 2 minutes…
1-5