08.12.2024 tulifanikiwa kufanya Matembezi Jumuishi yaliyoshirikisha watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu pamoja tulitembea 5km kuongeza uelewa kuhusu masuala ya watu wenye ulemavu na kuhakikisha uwepo wa ujumuishi wenye tija kwa maendeleo yetu sote.🙏
PLPDFFOUNDATION tunaungana na watanzania wote kutoa pole kwa wafanyabiashara wa k/koo ndugu,jamaa na marafiki wote walioguswa na tukio hili, tunawaombea kheri majeruhi wote wapone haraka, Mungu awe faraja kwa wote waliopoteza ndugu zao. #PrayForkariakoo
Every step we take will contribute to raising community awareness about disability issues and fostering meaningful inclusion for the betterment of us all.
REGISTER NOW via this link or visit the link in our bio.
https://t.co/r5UGGSWQAx
#TogetherForInclusion
KARIBUNI 08.12.2024 tutembee pamoja,katika kuadhimisha Siku ya watu wenye ulemavu duniani lengo kuongeza uelewa, kuhusu masuala ya watu wenye ulemavu na ujumuishi wenye tija kwa maendeleo yetu sote.
Mahali, viwanja vya farasi Oysterbay.
Hakuna kiingilio.
Walk with us in commemorating the International Day of Persons with Disabilities. December 2024
Save the date
08.12.2024
The Green Oysterbay - kinondoni Dar es Salaam.
Don't Miss
Free Entry
#TogetherForInclusion#NIYETUSOTE#Disabilityawareness
Call for sponsors, partners, vendors,groups, company participation and other stakeholders to join us commemorate International Day of Persons with Disabilities on 08.12.24 at the green oysterbay Dar es Salaam.#DisabilityInclusion#TogetherForInclusion
Walk with us in commemorating the International Day of Persons with Disabilities. December 2024
Save the date
08.12.2024
Dar Es salaam farasi grounds Oysterbay.
Don't Miss
Free Entry
#TogetherForInclusion#NIYETUSOTE#Disabilityawareness
Walk with us in commemorating the International Day of Persons with Disabilities. December 2024
Save the date
08.12.2024
Dar Es salaam farasi grounds Oysterbay.
Don't Miss
Free Entry
#TogetherForInclusion#NIYETUSOTE#Disabilityawareness
Mheshimiwa @AngellahKairuki, alimkaribisha Mgeni Rasmi Mheshimiwa Riziki Pembe, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Zanzibar, aliyetoa hotuba ya ufunguzi na kufungua rasmi mkutano!
@AWLNetwork
Honored to join today's pivotal meeting with the African Women Leaders Network, the Govt. of Tanzania, and UN Women. Together, we're galvanizing commitment to the #GenerationEquality Forum agenda, driving forward economic justice and rights.
#GenderEquality#SDGs
A new era of inclusion for individuals with disabilities in #Tanzania
Read more 👉
https://t.co/42cY2IDPZB
“My Choices My Rights” programme, supported by Government of Finland 🇫🇮
@FinlandUN@UNFPATanzania
@PLPDFoundantion tumeweza kushiriki katika kampeni ya uhamasishaji wa Lishe bora, lengo ni kupunguza hali ya udumavu katika mkoa wa Njombe. Ikiwa ni harakati za kuunga mkono juhudi za Mhe. Raisi @samia_suluhu_hassan na kuleta maendeleo kwa Taifa.
#lisheyamwanaomafanikioyake
Towards more inclusive community , the @PLPDFoundantion ,which is an @AfriYANTanzania affiliate, is looking for a Program Coordinator to support Children with Disabilities.
@wiseladysophey
🇺🇳UN organizations are deploying staff and supplies to Hanang, joining 🇹🇿 Government & partners in early response efforts.
Together, we're working on supporting affected communities with immediate & long-term recovery.
https://t.co/97iBl8wCmr
Asante Wildaf na wadau wote kwa kutambua jitihada zangu katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.
Tuzo hii ni kubwa sana kwangu, ninachoweza kusema mapambano yaendelee.