DAR: Ujumbe huo umesemwa na Rais Samia, Julai 30, 2026 wakati anazungumza na viongozi wa Vyama vya Siasa, Ikulu.
Zaidi tembelea https://t.co/hEeBQe9H4a
#JamiiForums#Utawala
Bring ideas to life with Grok Imagine. Generate stunning AI videosBring ideas to life with Grok Imagine. Generate stunning AI videosBring ideas to life with Grok Imagine. Generate stunning AI videos.
Leo kwenye Tuzo za “World Tourism Awards” zilizofanyika Bahrain, Zanzibar tumenyakua tuzo ya World Leading Corporate Retreat Destination na Serengeti National Park imeshinda tuzo ya World leading national park.. na hii mtanuna
Leo alasiri nimetangaza uteuzi wa Baraza la Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri. Kwa pamoja, tutafanya kazi ya kutekeleza jukumu la msingi la kuwatumikia wananchi.
Dhamana hii ni wajibu na pia deni ambalo tunapaswa kuwalipa wananchi kwa kuwatumikia kwa ari, bidii na uaminifu mkubwa.
Ninawatakia kila la kheri. Mwenyezi Mungu awasimamie na kuwaongoza.
Pongezi za dhati kwako Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge), kwa dhamana uliyopewa na Taifa letu kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Umekabidhiwa jukumu kubwa na muhimu la kuiongoza Serikali, kusimamia utekelezaji wa ahadi zetu kwa wananchi na kuimarisha ustawi wa Taifa letu. Tunakuahidi ushirikiano katika utekelezaji wa kazi hii.
Mwenyezi Mungu akusimamie, akuongoze na kukufanikisha kwa ajili ya Taifa letu na Watanzania wote.
Mungu Ibariki Tanzania.
📍Ikulu, Zanzibar
🗓️:08 Novemba 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Marais Wastaafu wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein wa Awamu ya Saba na Mhe. Amani Abeid Karume wa Awamu ya Sita, Ikulu Zanzibar.
Marais hao wastaafu wamemtembelea Rais Dkt. Mwinyi kwa lengo la kumpongeza kwa ushindi wa kishindo alioupata, pamoja na kupongeza hali ya amani na utulivu iliyoshuhudiwa wakati wa Uchaguzi Mkuu.
📸:IKULU
Mathare Home of 1.2M Kenya.
ipo Pia Kibera
hawana hope ya kupata hata kipande cha ardhi
wengine ndio GenZ Wanao tukana Tanzania.
hawa wana katiba mpya
wana uhuru wa kusema
wana tume huru
lakini still wanao faidi matunda ya katiba mpya ni wale wale .
don't teach us anything ...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally Kakurwa leo katika Mkutano wa Mgombea Uraid wa Tanzania Dkt. Samia Kondoa amemuombea kura Mgombea Urais CCM
“Niko hapa kuwaomba kura za Chama cha Mapinduzi kwanza kama Mwenyeji mkazi wa Dodoma pili tumepewa kazi na Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya kuratibu Shughuli za Kampeni, Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe” Bashiru
“Nguvu ya CCM na uwezo wake inatokana na Umoja ndani ya Chama na Umoja wa Kitaifa nashukuru Mwenyekiti umechukua kazi hii ukiwa Kiongozi na sasa umetokea tena kuisimamia kazi hiyo, umeisimamia vizuri kazi ya kuunganisha Chama na kazi ya kuunganisha Taifa” Bashiru
“Nchi yetu inaendelea kufanya vizuri katika maeneo mengi tuko hapa kuwanadi Wagombea wetu kwa ubora wao, tuko kuinadi Ilani ya CCM kwa ubora wake, tunadi utendaji wa miaka mitano iliyopita tunaomba muendelee kukiamini Chama cha Mapinduzi”
#MillardAyoUPDATES
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi mambo haya 7 kwa wakazi wa Dodoma atakayoyafanya kwa miaka mitano ijayo.
Miongoni mwa ahadi ni Kumaliza changamoto ya maji, umeme, kuboresha huduma za kijamii na kujenga kongani za viwanda hayo ni miongoni mwa mambo atakayoyafanya katika Mkoa huu kwa miaka mitano ijayo ya uongozi wake, huku akiwaomba wananchi wampigie kura.
“Dodoma ni makao makuu ya nchi, si vyema kuwa na shida ya maji. Kwa hiyo tunakwenda kumaliza kabisa shida ya maji kupitia mradi mkubwa utakaotoa maji Ziwa Victoria hadi haoa Dodoma,” amesema.
Katika kumaliza tatizo hilo, amesema atakamilisha ujenzi wa bwawa la Fakwa ambalo nalo litasaidia kupeleka maji katika jiji hilo.
Dkt Samia amesema Serikali yake itamaliza tatizo la umeme jijini humo, kwa kukamilisha utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha nishati hiyo kutoka Chalinze hadi Dodoma kilovoti 400.
“Umeme wakati mwingine mdogo, lakini unakatika. Tunataka Dodoma iwe ya viwanda na kazi zote zisisite kwa sababu ya umeme,” amesema.
Amesema ndani ya jiji hilo, atakamilisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato kabla ya mwaka 2027.
Kumaliza migogoro ya ardhi ni jambo lingine, alilosema atahakikisha linakamilishwa katika jiji hilo, kwa kuongeza kasi ya upimaji na usajili wa ardhi.
“Tunakwenda kuongeza kasi ya upimaji na usajili wa ardhi ili kumaliza migogoro na Ndejembi (Deogratius) ndiye mwenye wadhifa huu, sasa sijajua ataendelea nao au nitampanga mwingine sijajua bado,” amesema.
Dkt. Samia amesema Serikali yake itakamilisha ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira wa miguu na tayari mkandarasi ameshapatikana.
“Mkandarasi amepatikana tukimaliza pilika hizi, tumeshamkabidhi kazi, tukimaliza pilika hizi tunakwenda kuanza kazi”.
#MillardAyoUPDATES
Kama una ndugu, rafiki, jamaa ana alphard maeneo ya ununio, boko, mbweni, bunju, na inaonyesha alama ya ajali, mwambie wale bodaboda waliowagonga na kukimbia jana Usiku, walikufa pale pale barabarani, na wamekufa vibaya.. wote wawili ni mababa na wameacha familia nyuma
Harmonize Katoa Remix ya wimbo wake "Furaha",
Ambapo kaibadilisha kuwa wimbo wa kumshukuru Mungu.
Humu ndani kamtumia Nicole Joe Berry..
Kama mdada aliyeokoka baada ya kupitia Mateso. (TRUE STORY)
Video kwa Comments👇
Hii ni hadithi ya kusikitisha kuhusu Margaret Nduta, Mkenya kutoka Murang’a, anayetarajiwa kunyongwa leo na serikali ya Vietnam baada ya kupatikana na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Tan Son Nhat. 💔
Thread:👇
Anzisha mwaka mpya kwa amani ya akili barabarani. Pata Ukaguzi wa Alama 30 BILA MALIPO kwa gari lako na uhakikishe kuwa liko tayari kwa kila safari inayokuja.
https://t.co/5AIybse7CD
#AutoXpressTanzania
Waliopo nyuma ya huyu mtoto wasipochukuliwa hatua kali za kisheria, wataenda kututengenezea kundi hatari sana hapo mbele. Hata Al Shabab ilianza ivi ivi… 😡😡💔💔💔