@Cyancuty1 APPLICATION & CONNECTION ZA KAZI
KWA KAZI ZA SERIKALINI
-Tunasaidia kuapply katika office unazotoka Dar es saalam hasa kwa watu wamikoni.Tuma zikiwemo CV zako Kwa njia ya watsapp
KAZI ZISIZO ZAKISERIKALI
- Utasema aina ya kazi
Gharama 10000/=
Tupo Kawe :0621411407
_
@godbless_lema Huwezi ukawa unasema kila siku boda ni tatizo na hauji na suluhisho simameni kwenye majukwaa yenu njooni na suruhisho na hicho ndicho wananchi wanaitaji hatukatai sawa boda ni UMASKIN eeh tunafanyaje ?? Iyo ndo msimame mseme
@godbless_lema Nadhani mama aliporuhusu mikutano alitegemea mtakuja na hoja za msingi na mnasahu target yenu kubwa ni kuwateka wananchi Ili mchukue nchi mnapoanza na vihoja dhaifu kama hivi msishangae Tena mkalalamika kama Yale Yale baada ya uchaguzu
@godbless_lema Nivema mgekuja na hoja za kuwasaidia kushawishi na kuleta uchachu Kwa wanachi Ili kuwaamini na kuwapa nchiii lakin mnakuja na hoja za kuwaudhi Wale wale wanaowasuport nyinyi wale wanatafuta kipato mnatka waibe vp hakuna kazi isiyo na Changamoto na ajari utokea Kila sehem Mh.