Kuna kijana mmoja aliwahi kuniambia kwamba fedha nyingi na rasilimali nyingine za umma kama magari ya kifahari ambazo wanasiasa wenye madaraka Serikalini wananufaika nazo zinawafanya kudhani kwamba TZ ni mali yao binafsi.
👉🏾Je wewe unakubaliana na hoja hii?
Nawakumbusha tu kwamba IGP Sirro ndo alimpa Mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake kesi ya mauaji ya Akwilina, kesi ambayo Hakimu Thomas Simba aliwatia hatiani ila Mahakama kuu ikatengua Hukumu hiyo na kusema ilikuwa batili so alichokifanya leo sio mara yake ya kwanza.
Ayatolah atakuwa kafurahi sana hizi habari kwa sababu alimwambia ndugu yake HECHE kuwa MBOWE lazima afungwe… Haya kapelekwa jela njoo uwanjani basi uone kama unaweza kuipiku CHADEMA ili muwe chama kikuu cha upinzani..
#Tanzania
“When President Samia Suluhu Hassan took over, there was hope that Magufuli's reign of terror and war on democracy would end. The arrest of chairman @freemanmbowetz and @ChademaTz leaders has dashed any such hope.” -@TunduALissu
https://t.co/WnzyrKyxIK
Uzuri mifano halisi tunayo. Wapo waliokuwa majabari kweli kweli. Lakini tumbo la ardhi tayari limeshawatafuna na wamesahaulika kabisa. Mali pamoja na vyeo ni pambo tu la Dunia.
Ukiwa na madaraka makubwa alafu ukayatumia kusakama watu personally maana eti wamekukera kwa kauli zao - basi hustahili na hufai kuwa na madaraka hayo!
Thin skin, big ego and unchecked emotions are the hallmarks of weak, incompetent leaders!
#ChangeTanzania
KASWENDE: huanza kama kidonda kisicho na maumivu kwenye sehemu za siri, puru/kinywa na baada ya kupona huja na upele kwenye hatua ya pili na kisha kunakuwa hakuna dalili nyingine kwa miaka hadi hatua ya mwisho ambayo kusababisha uharibifu wa ubongo, neva, macho na moyo #AfyaMedia
Wabunge wa Mwendazake ni wabinafsi sana yani wao kila siku wakikaa wanafikiria kubuni mbinu za kutukamua wananchi vijisenti vyetu ila wao hawataki mishahara na posho zao zikatwe hata senti.
As a man United fan I don’t even know how to feel, hate that Chelsea won but didn’t want a man city win ! Happy for ngolo kante sha! Man is really blessed and I tap in to that! Somebody say hallelujah 😂😂😂