Listen to this @OversightBoard
And ask @Meta@instagram why are the same names that @SuluhuSamia ‘s son in law was peddling and offering money to hack the same accounts that were removed by your company??
Corruption? Influence?
Why is Meta collaborating with a mass murdering regime?
We need answers
@JosephAnania3@AbroadTanzania@halimamdee Kwa akili zako Mgando Ndicho kitu umetoka nacho hapo. Amesisitiza Ubunge wa Viti maalum kwa kina Dada ni Sehemu ya Neema ambayo inawajengena Namna ya Kupambana Kuingia Bungeni Kama wabunge Wachaguliwa baada ya kutoka Kwenye viti maalum. Na ndiyo maana iko kwa Wanawake tuu
@DJosephofficia1@halimamdee@esteramosbulaya@ChademaTz Bwana wewe Kama hawa wamekuwa na mchango mkubwa kwenye chama na mnawaonea Huruma na kutaka warudi ilikuaje mkashindwa kumvumilia Mbowe na Mkamuita msaliti na kila aina ya kejeli na matusi??
1. AKIBA YA MBEGU YA DUNIA YA SVALBARD (SVALBARD GLOBAL SEED VAULT), NORWAY
Akiba ya Mbegu ya Dunia Svalbard huko Norway inajulikana kama "Akiba ya Mwisho wa Dunia," na inahifadhi mbegu milioni 100 kutoka kila mahali duniani.
Imejengwa kudumu dhidi ya majanga yoyote ya asili. Watu hawaruhusiwi kuingia kwenye hazina hii, hata kwaajili ya kufanya research. Research zozote
Hii picha ilipigwa March 19 2013
Pichani ni rais mstaafu Jakaya Kikwete na mkewe wakienda kujionea hali ilivyo kwenye jengo lililoko kiwanja No. 2032/73 mtaa wa Indira Gandhi
Jengo hili la ghorofa 16 lilikuwa limeanguka likiwa bado kwenye hatua za ujenzi.
Mjue William Colgate:
Mwanzilishi wa Dawa ya Meno Maarufu Leo Hii, Colgate
Wakati wengi walikuwa wanatafuta njia za kufanikiwa kwa kuuza bidhaa zao, William Colgate aliona fursa kwenye biashara ya usafi wa kinywa.
Alikumbukwa sana kwa kauli yake maarufu inayosema:
"The most successful enterprises are the ones that meet real needs."
Na hii ndiyo hadithi yake…
@GesaseMrimi1@millardayo Dawa ya matepeli na Walanguzi wa mali za Marehemu ni Kuzika Eneo ambalo wameshali target kuliuza baada ya mazishi Kukishakuwa na kaburi tuu baasi kunapoteza thamani mara moja So mwanamke amefanikiwa kuwazidi kete Ndugu kwenye eneo hilo
@Norascombedule1@millardayo Dawa ya matepeli na Walanguzi wa mali za Marehemu ni Kuzika Eneo ambalo wameshali target kuliuza baada ya mazishi Kukishakuwa na kaburi tuu baasi kunapoteza thamani mara moja So mwanamke amefanikiwa kuwazidi kete Ndugu kwenye eneo hilo
@sihiana@millardayo Inapotokea hali kama hiyoo Ujuee ndugu wanataka asizikwe mahali alipo pataka sababu pale wanataka waje kupauza Sasa Shida inakuja wakipauza Watoto au mke wataishi wapi maana watakuwa wamedhulumiwa. Sasa hapo Mke na wanaomsapoti wanasema mume azikwe kwenye eneo lake kukishakuwa
@AWAMO6@millardayo Inapotokea hali kama hiyoo Ujuee ndugu wanataka asizikwe mahali alipo pataka sababu pale wanataka waje kupauza Sasa Shida inakuja wakipauza Watoto au mke wataishi wapi maana watakuwa wamedhulumiwa. Sasa hapo Mke na wanaomsapoti wanasema mume azikwe kwenye eneo lake kukishakuwa