@YoungAfricansSC Nashangaa hata wanaojita wachanbuzi wa soka wanacomment kama wasiojua mpira, kushinda ,sare au kufungwa ni matokeo ya kawaida kwenye soka
@GodoGodo255 Ukiona kocha mpya kwenye timu alafu timu inaendelea kucheza kama zamani ujue hajabadili chochote, huyu dogo kocha wa Yanga ana kitu anakitafta mtakiona badae msiwe na haraka
@YoungAfricansSC Historia inaonyesha wachezaji karibia wote waliotoka Tz kwenda kwa waarabu walifeli, chama,kisinda ,mickson ,mwalim nk, acheni kukurupuka
@Tanfootball@CAF_Online@TaifaStars_ Nilishasema tena hamasa na ahadi kubwa kubwa, zinawafanya wachezaji wacheze kwa presha wanatoka mchezoni, mambo ya ahadi achaneni nayo let football decide then wapeni zawadu