@Tanganyikan Kaongea ubongo wake ulipoishia kufikiria kwahyo sio mbaya. Huenda anapoint kwamba maendeleo yanakua determine na mind set lakini pia anatakiwa kujua main stream media ndio inaamua nini kitrend most of the time. Media za bongo kwa kukosa uhuru zimehamia huko automatically
Kama unajihisi wewe una bahati mbaya ebu mfikirie MEJA KUNTA Oktoba 2024 Meneja wake Dida Shaibu alifariki Dunia, Aprili 2025 alimpoteza Mama yake Mzazi, leo Julai 2026 kampoteza Baba yake mzazi, now jamaa maanake ni YATIMA na hana Meneja wakumsaidia kwenye kazi, POLE SANA MEJA
@Iamtircky1@doktamathew Pole sana. Utakaa sawa. Jitahidi kupunguza vyakula vya mafuta na wanga. Ulitoka jasho kwa wingi ndiyo salama Yako. Tembea piga tizi. Lala kwa wakati.
Tarifa ya CAG sio hukumu wa Tuhuma Rasmi za Wizi wa Mali ama Upotevu wa Mali.
Kazi ya CAG ni Kuonesha udhaifu ama
mapungufu ili Vyombo husika vifuatilia na Kujihakikishia kama kweli kuna Wizi ama Udanganyifu Kisha sasa Hatua Stahiki zichukuliwe.
Mfano hili, CAG anaweza sema Sema Pesa Hazikufika Bank kwa sababu Vitabu vya Mahesabu havikubalance sawasawa kimahesabuama Risiti hazikuonekana yeye ataitafsiri kuwa pesa hazikufika.
Ili Ziwe Hazikufika Inapaswa Vyombo Vifuatilie kiundani na Kujua kama kweli hazikufika zimeibiwa ama laa.