@Tinahcristiaan@DadaConso Ila we bibi unamatatizo maana hueleweki upo upande upi hasa. Aya simama na ccm ieleweke moja.. Kuna vitu muwe mnakaa kimya tu kma hujaelewa mtoa hoja amesimamia wap
@Roma_Mkatoliki Yule mzee kavu sana , alikua hataki mahita afunguke zaidi. Ila bi mdada alikua smart na kuna namna alikua like ana mshangaa mwenzake kwa kumkatiza mahita kunalizia anachoongea