@mshambuliaji Mwandishi wa habari hutakiwi kuonyesha upande, sasa Bw. Maulid unakwama wapi unaposema kwa msisitizo...." kila mtu kaona" ndo maadili ya kazi yenu?
@shilinde_cc @KuryaMr@halimamdee Mama wewe akili zako ni mtu na nusu, jasiri usiyetetereka, umewafanya kundi kubwa la wanawake Tanzania hii kujenga tabia ya kujiamini. Umepata kura yangu Kawe.
@kigogo2014 @FichuaTanzania @fichuaglobal_HQ Karibu tena Shemasi, ila ni kweli typing errors hasa za tarakimu tunaomba uziepuke kwa sana kipindi hichi. Mungu akubariki.
Kuelekea siku za mwisho za ratiba ya kampeni, napenda kutoa shukurani za dhati kwa wote waliotuunga mkono, na kuomba mchango wenu uendelee ili tumalize kwa kimbunga kile kile.
Retweet 🔁 tufikishe ujumbe huu kwa wote wanaojali haki.
#ChaguaLissu#ChaguaCHADEMA#NiYeye2020