@RevocatusMagum1 Kichwa Ubuyu Vipi Duchu Amwage Kimiminika Apigwe Faini Ya Mil 1 Alafu Shabiki Wa YANGA Afungiwe Miezi 12 We Nyamaza Mwaka Huu Mtatoa Milio Yote
@RevocatusMagum1 We Jamaa Msenge Sana Kile Kipindi Mlichanga Hela Kwaajili Ya Faini Ya CAF Mlilazimishwa Na Ile Ya Ukuta Wa Bunju Ilikuwaje Mambo Kama Hayakuhusu Kausha Utashikwa Bega
@ayubu_madenge Bangi Siyo Mchicha YANGA Hawakushangilia Sare Ila Wameshangilia Kulinda Gape Kubaki Kama Lilivyo Kuendea Ubingwa Na Imekuwa Nzuri Kwa Upande Wao Kwasababu Waliongozwa Mbili Na Wakarudisha Zaidi Na Wakaibeba Mechi Mazima