@mahmoudkombo Hongera sana Mhe. @mahmoudkombo , hivyo ndivyo waziri wa Mambo ya mje anapaswa kuwa link ya nchi na fursa za kimataifa!! Wewe ni kiongozi makini na mahiti
@fatma_karume Mbn ww suala la ushoga licha ya kwamba Mungu anakataza na kama muislam unajua na still uliunga mkono na kutaka wapewe haki yao!! #jitafakariFatmaKarume
@MuskUniverseUsa B. Because if it would have been literal it could have been 000444 bt since it's mathematical it is 3034.
Another reason is if you were meant literal it could have been three zeros and threee fours
@Kirikuu20 Nimepitia comment nyingi naona wengi mnaweka chuki kwa mchizi, hebu achaneni na roho hizo we chukua somo kama umelielewa litumie kama hujaelewa mpotezee, lakn naona watu tunajaribu sana kuelezea kuwa anaigiza maisha, ila kamaliza mwenyew kuwa nenden na nyie muaminiwe muigize..