Dameged woman wako na experience kubwa sana juu nini mwanaume anataka na most of them wako 25+ wametumika sana na wengine wana watoto kabisa.
These lady wakipata simp wa kuingia kwenye retirement plans zao they can act perfect kukuweka kwenye mifumo kama wakijua interest zako.
Atakuheshimu,atakuwa submissive,hatoonyesha anapenda starehe kama haupendi starehe,hatoonyesha anahitaji pesa sometimes.
Thats why unaweza ishi na manzi vizuri mpaka kwenu wakampenda lakini ukimuoa mkajambiana over time ana reveal nature yake na kupoteza submissiveness character aliyokuwa nayo na hapo ndio migogoro inaanzia.
Be aware.
Manzi yupo 26+ na kamekua sexual active kwa mda let say kakiwa 20 then ukija wewe kanakupiga ile.
NO SEX MPAKA UNIOE.
Jiongeze ki master we sio mjinga wa kuingia kwenye retirement plan za kiumbe usichojua background yake.

Kuoa manzi ambae yupo 26+ na umemfahamu miezi 2-6 ni ujinga na ni wazi kwamba umeingia kwenye retirement plans zake.
Mimi ni bora nisioe kabisa kuliko kufanya ujinga kama huo.
Kama umeanza nae 3~4 years back basi hapo inaelezeka means kalikua 23 hatakama walipiga sana inakua afadhali.
Kwanza at 26 mikoani mademu wana watoto hata wawili na bado wapo kwao.
Be care bro.