Muuza spare used za magari๐๐ na ni mshauri wa ubovu wa gari๐ yako kulingana na ubovu wake nitakushauri kama ๐จโ๐ง๐จโ๐ง๐จโ๐งfundi DOCTOR CAR
๐จ Kylian Mbappรฉ will announce his extension at PSG after tonight's game against Metz. The club are organising a private party to celebrate the new contract.
(Source: @DiMarzio)
Maisha hayaji na maelekezo kwenye kitabu ndio maana tuna Baba katika maisha yetu yeye ndio mwenye kutuongoza kila hatua.
mungu awalinde baba zetu pia walio tangulia awape hifadhi nzuri mbele ya haki.