We are proudly to see girls from Chazinga and Kimani secondary schools from Kisarawe to having access of @flowee__ pads.For each single piece will girl for more than 12 months👌.
@helen_white21
@umwalimu @jokateM#HedhiSalama#RedLadies
Kama wewe ni rafiki yangu hata wa kimjinimjini halafu haujaunga mkono kampeni ya #PediBilaKodi Hata kwa kutweet, basi sisi si marafiki.
Na kama wewe ni mtoto wa mwanamke ulieumbwa kutukana na pande la damu #Hedhi unawajibika kuunga mkono kampeni hii.
#PediBilaKodi
Sisi ni Mabadiliko.
Elimu ni msingi, yapasa iwafikie wote pasipo kujali uchumi binafsi. Sisi #YVSD na wadau wengineo tumeamua kukusanya "Taulo za Kike" na kwenda kugawa na mabinti sehemu zenye uhitaji ili wasome pasipo shida kwani Elimu Bure ila inamahitaji. #TwenzetuMlowo
Are you ready for this Friday?
Meet Emanuel Kwaslema @emasylvester a Tanzanian Economist, Visionary Leader, Thoughtful Cryptocurrency Investor and social Entrepreneur who dare to change the community in his own way of leadership. #Africa_MustRise
Tusimsahau mtoto wa kike katika kuhakikisha anapatiwa haki zake zote za msingi ikiwemo elimu itakayomwezesha kutimiza ndoto zake zenye kuleta maendeleo chanya katika jamii zetu #anzanamtoto@Plan_tanzania@WiLDAFTz @BhokeBevin @DrNsorani@TawlaTZ@TAMWA_