@TichaMandevu Kwanza kama ni mwanaume aache starehe rahisi mfano kunywa pombe za company au za kupima NYETO na kuwa tegemezi na kubwa zaidi lazima ajue yeye ni nani yuko position gani na anahitaji afanye kitu gani na je vp mazingira aliyopo yanaisuport vp ndoto yake ama ataanzia wapi kuitimiza