TAFAKURI
Leo nimesikiliza kwa masaa matatu kamati ya bunge la Marekani ya masuala ya biashara na sayansi, ikijadili kwa kina sana juu ya ushindani wa Marekani na China katika vita ya AI.
Watu wanne muhimu walikaribishwa kwenye kamati na kuhojiwa na maseneta ipasavyo, including Sam Altman, Co-Founder and Chief Executive Officer, OpenAI, Dr. Lisa Su, Chief Executive Officer and Chair, Advanced Micro Devices (AMD), Mr. Michael Intrator, Co-Founder and Chief Executive Officer, CoreWeave, and Mr. Brad Smith, Vice Chair and President, Microsoft Corporation.
Mada ilikuwa moja tu; Marekani ifanye nini ili ihakikishe kuwa inabaki kuwa stronghold wa AI duniani?
Hii hearing/discussion imenikumbusha mwaka 2017 ambapo China ilikusanya vichwa vyake muhimu vyote pale Beijing kujadili namna China itakavyoweza kuwa kinara wa AI duniani na mwisho wakatengeneza ile China New Generation Artificial Intelligence Development Plan ya mwaka 2017.
Najaribu kuangalia kinachofanywa na haya mataifa kisha najiuliza, na sisi Tanzania tunaonesha kiu hii ya maendeleo?๐ค
Kwa mfano, nafahamu kuwa bunge la Tanzania lina kamati tofauti tofauti ambazo mara nyingine huita watu mbali mbali kuwahoji kuhusu tuhuma fulani etc., ila najiuliza hivi hizi kamati huwa nazo zina utaratibu wa kuita wataalam na wabobezi katika nyanja tofauti tofauti na kufanya hearing kama hiyo hapo juu ili kuwasaidia kutengeneza sheria fulani fulani muhimu kwa taifa?
Tuchukulie kama issue ya AI na unyeti wake, ni kwa kiasi gani bunge letu limeweza kuwahoji wataalam, wabobezi, watafiti, na hata wafanyabiashara wa AI ili kugauge hali ilivyo na kutumia mawazo yao kuchonga bara bara ya maendeleo ya taifa?๐ค๐ค๐ค
Kwa maoni yangu, AI inataka kasi na sense of urgency. Ukichelewa kidogo tu katika kustrategize na kuendelea na tabia ya business as usual, soon tutalia machozi ya damu.
Kasi yetu inanipa wasiwasi sana!!
Onesmo Mushi
๐๏ธSamuel Eto'o : " I was sitting at home in Douala when suddenly! My phone rang.
The number? Unknown, but something in my heart said, "Answer, Samuel."
When i answered i heard "Samu? Do you still have the same number from 2009?" (He laughs quietly.)
So I said to him, "Lionel?! Even if I changed my number 100 times, I would have made you the first to know! But why are you calling in the middle of the night? Do you want to finally admit that I'm the best at pikey-pikey among us?
Then he started laughing and said, "No, this time it's bigger I've seen what you're doing in Africa, and I've seen the eyes of children in some remote villages when you visit them. I want to be part of this, but in my own way."
My heart stopped for a moment. Messi talking about Africa with such passion?!
Then I heard him say, "I want to build schools and hospitals, but not in my name. In the name of the football that brought us together." And you know the way, Samuel".
The following week, Messi secretly flew to Yaoundรฉ. No press conferences, no cameras. Just him and me visiting a remote village.
There, we met a little girl named Ama. She was holding her worn-out ball and saying to Messi, "You're magical, but my ball doesn't fly like yours!" At that moment, I saw Messi's tears. He took out his phone and said to me, "Here. We're going to build a playground for every child in this village, and we're going to teach them that true magic is giving without expecting anything in return."
Messi didn't stop there! He launched a secret program called "10." The program collects donations from football legends to save forgotten villages in Africa.
The most beautiful thing? His only condition was: "No media, no noise, only action."
That day, I understood why Messi was "great." Not because he scores goals, but because he knows how to strike hope into the hearts of those who have no voice.
Now, whenever someone asks me, "What's the difference between Messi and all other players?" I say, "Some live to love football, and Messi lives to make football love people."
Africa doesn't need heroes seen on screens, but heroes who come down to earth and hold children's hands.
And Messi came down."
Source : [ UNICEF PODCAST]
Ukipata muda walau weekend mmoja, katika mwezi, Tembelea Wagonjwa Mahospitali.
Nunua chakula, Matunda, Maji, Fika Pale social department, omba uwaone wagonjwa wasio na ndugu.
Wapo na uhitaji mkubwa tuwafariji, tuwapende...๐๐
@AfricanHub_ What's the worse btw 19 head of state speaking online with Macron about the ultimate of energy crisis earlier this week in Dar es salaam or Ruto speaking with the same president about DRC situation???
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Sheikh Muhammad Iddi (Abuu Iddi), Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mwinyiamani, Mshauri wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Ali Mbwana na Mratibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, kilichotokea leo Alhamisi, Januari 30, 2025.
Natoa salamu za pole kwa familia, Mufti Mkuu wa Tanzania, Waislamu wote nchini, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu.
Tumeondokewa na mtu aliyeipenda nchi yake, mwalimu katika imani, mlezi wa wengi katika imani, mpenda haki, mpenda ukweli, umoja, amani na utulivu wa nchi yetu, aliyetumia muda wake mwingi kuyasimamia na kufundisha hayo kupitia mawaidha yake.
Mwenyezi Mungu ampe Kauli Thabit, amsamehe makosa yake, amzidishie katika mizani mema aliyotenda, na ampe nafasi katika Pepo yake.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
@Salym Tutohoe tu iwe Besdei naona ndo inatumika sana ila kwa wenzangu wanaounganisha kabisa "Jana nilialikwa kwenye Epi Besdei" sijui itakuwaje๐๐๐
@Labella_Mafia95@N Ila kuna vitu Jamani Afrika inabidi tunatakiwa kujifikiria na kuweka mkakati upya wa kutoka hapa tulipo.
Imagine mtu anakuvimbia kukupa msaada wa Condom ๐ค na wewe unahofia like serious????? ๐๐๐โ
TUSIJIHANGAISHE- ANZENI MAANDALIZI YA PASAKA NA EID EL FITR MAPEMA
"Nilikuwa kwenye kikao cha mkakati wa maendeleo kwa siku 2 mfululizo na wafanyakazi wenzangu. Tulitumia nguvu na maarifa mengi kujadili na kupanga vile tutakavyojikwamua katika mtego wa uchumi mkwamo. Wakati napitia maazimio na mipango ili kufanya tafakuri ya kina- mara paap- Rostam Aziz kaingia na kunivuruga- kumbe umasikini wetu sio wa bahati mbaya- ni mpango tuliouchagua".
Sasa naaza maandalizi ya sherehe za Pasaka na Eid _Elfitr.
@charlesabel24 Hii mambo inakera na ni ushamba saaana, niliwahi kushuhudia jambo hili pale Lupaso japo watu tulimpigia kelele ila hazikusaidia sababu ni vyema ingechukuliwa hatua zaidi ya zile kelele.