SABABU 5 ZINAZOPELEKEA WASOMI KUFELI KWENYE BIASHARA
Thread👇
1.Hawako tayari kuanza chini*
Shule imewaandaa kuwa watu wenye vyeo maofisini. Kwa hiyo wanapomaliza shule wanajiona kama mabosi na kuwa hawatakiwi kufanya kitu kwa mikono yao. Kwa mantiki hii hawezi kukubali
Sijui sana kuhusu Quran na hadithi zake ila kwenye biblia matajiri wengi walimiki mifugo na ardhi kwa ajili ya kilimo na madini, i think kuna cha kujifunza when it comes to natural wealth, God creation was never and its never a mistake he realy knew what we need as human being🤝
Kuna Wanetu nyakati zetu walikosa matokeo ya kwenda Form 5 na 6, wakiingia kujifunza biashara, tulidhani wamepotea njia bwana.
Sasa hivi mkikutana mtaani, unaomba connection.
Life at its best na njia zake 🙌🏼
First impression matter!!!
Ukipewa nafasi yoyote ile YOYOTE ILE utakachofanya mwanzoni ndicho kitaamua muendelezo wako.
Umepata mteja! Biashara yenu ya mwanzo ndo itaamua
Umepata number ya mchumba, Msg yako ya kwanza au mazungumzo yenu ya mwanzo yataamua mengi. Be careful
Hakuna kazi ambayo haina pesa, Leo nimemuuzia boda boda hii AILYONS FRIDGE DOUBLE DOOR kwa 1,500,000/= na anasema amesave mwezi mmoja tu 🙌🏾🙌🏾.
Je! Wewe unashindwaje?
Niko tayari kwa Neema ya pesa nyingi. Hazitanipoteza wala kunibadilisha vibaya.
Niko focused, nina clarity ya malengo yangu, na moyo wangu umejaa shukrani hata kabla hazijafika.
Mungu wangu, kijana wako yupo tayari kuzipokea kwa hekima, nidhamu na kusudi. 🙏