@mirambo2025@godbless_lema Sio kosa lako.. mifumo mibovu ya elimu yetu imetufundisha kukariri pages za kitabu ili kujaza kwenye mswali 5 mwishoni mwa mwaka... bila shaka uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana na ubongo umekufa
@Ntobi_ marekebisho kwa sasa na tukapata SHERIA mpya Inaoridhisha na CHADEMA ikawa tayari kushiriki UCHANGUZI maana yake bado ina nafasi ya kushiriki hata kama haijasaini mkataba wa maadili... ELEWA MZEE WANGU
@Ntobi_ Ntobi kwa lugha yetu ni mtu anaekunya vichakani..... umri wangu ni mdogo na nakuheshimu sana mzee wangu... jifikirie na ujirudi na uombe radhi kwa mwabukusi...
Hujselewa labda au una hasira na hiki ninachoendelea nchini kwa sasa..
Kama sharia za uchaguzi zitafanyiwa