@Phbhimself Ama kweli Usimwamini mwanadamu!.. kwahyo na wewe pamojaa na ujuzi wako wa mambo hukujua kama Jamaa ni PANDIKIZI??
Na umeamini huo 'utumbo'!....
@FKihamu Tatizo la wachambuzi ambao hamkuwahi kupiga hata danadana 20 ndo hilo. Timu ikishinda unamtafta mshikaji wako unammwagia sifa za bureπππ
@TweveDevota Hao ndo matokeo ya Yule (aliyepigigwa) ukaona anateswa hadi Ukamtagi Mheshimiwa. Uhuru umewazidi hatimae yamewakuta... haya kawatetee tena.
@TweveDevota@Dr_DGwajima@RebecaGyumi Hicho hata siyo kipigo cha kawaida. Ni Hajapigwa hata kupigwa penyewe ni Vile tuu Dunia ya sasa UZUNGU umekuwa mwingi.