@PMadeleka Mmmm kama PhD anaandika hivi sijui diploma ataandikaje.Maana hata mwl wangu alienifundisha kuandika darasa la kwanza hakuwa hivi.Kweli kusoma shikamoo
@EduTalkTz Acha uongo wewe kunguru muoga, Israel hawawezi kutamka Shahada wakati wa kukata roho,sikiliza hapo mwisho utajua wanaofanya haya ni Wayahudi
@AbroadTanzania Acha uongo kiongozi,huu ni umbea wenye kitambo,wewe mpuuzi hebu piga Hesabu kwa miaka kumi ni shilingi ngapi?halafu muangalie Mizengo Pinda maisha anayoishi je hiyo pesa IPO wapi?
@EduTalkTz@SuluhuSamia@mwigulunchemba1 Utakuwa HAUPO nchini kaka kama upo baasi utakua unaishi nje ya vijiji peke yako,Sasa hivi TIE wamasambaza vitabu mpaka huko Kwemdimu MUHEZA vijijini,uko wapi wewe