Kama wanazuia Tundu Lissu isiende na SMS tumieni jina kwa njia tofauti - maana hizi ni filters za maneno specific - TUNDU na LISSU
So mfano tumia TunduLissu, tuuunduulissu TAL wakizuia hiyo tumia Mbeba maono 🤣 mgombea jasiri - watazuia Key words ngapi?
#Tanzania#ChangeTanzania