Hii picha ni ya kulazimishwa ili kuturubuni kwamba hakuna damu mbaya kati ya hizi familia. Tunajua baba yake Ridhiwani ndiye aliyemuua baba yake Jesca. Angalia vizuri, utaona kuna kuto kuaminiana.
#hatutakimuungano#tunatoka912 ๐๐ฝ๐๐พ๐๐ฟ
Ikulu mmeleta thugs, gangsterpreneurs, mmeleta utoto sana,
TISS huyu janja mmemruhusu vipi Force one aweke shavu juu ya shavu?
Mlifanya utoto sana mbona kwa Msoga mpaka mic mnapuliza neutralizers, mnafanya utoto sana.